Luke Singh
Mandhari

Luke Adam Singh (alizaliwa Septemba 12, 2000) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa ambaye anacheza kama beki wa York United FC katika Ligi kuu ya Kanada. Alizaliwa Kanada, lakini anaiwakilisha timu ya taifa ya Trinidad na Tobago.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Luke Singh profile". Canadian Soccer Association.
- ↑ "Ontario Players Compete against Quebec in Provincial teams Competition". Ontario Soccer Association. Mei 11, 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Cheng, Jonathan (Agosti 27, 2018). "TFC III Remains Top Of Table After 4–1 Result Over North Miss". League1 Ontario.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Luke Singh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |