2012
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 20 |
Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1980 |
Miaka ya 1990 |
Miaka ya 2000 |
Miaka ya 2010
◄◄ |
◄ |
2008 |
2009 |
2010 |
2011 |
2012
| 2013
| 2014
| 2015
| 2016
| ►
| ►►
Jan.
| Feb.
| Mac.
| Apr.
| Mei
| Jun.
| Jul.
| Ago.
| Sep.
| Okt.
| Nov.
| Des.
Makala hii inahusu mwaka 2012 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]| Kalenda ya Gregori | 2026 MMXXVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5786 – 5787 |
| Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2779 |
| Kalenda ya Ethiopia | 2018 – 2019 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1475 ԹՎ ՌՆՀԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1448 – 1449 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1404 – 1405 |
| Kalenda za Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2081 – 2082 |
| - Shaka Samvat | 1948 – 1949 |
| - Kali Yuga | 5127 – 5128 |
| Kalenda ya Kichina | 4722 – 4723 乙巳 – 丙午 |
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 19 Januari - Jeremiah Solomon Sumari, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 11 Februari - Whitney Houston, mwimbaji na mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 31 Machi - Cosmas Desmond, mwandishi wa Afrika Kusini
- 7 Aprili - Steven Kanumba, mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania
- 25 Aprili - Paul L. Smith, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 10 Juni - George Saitoti, mwanasiasa kutoka Kenya
- 24 Julai - Sherman Hemsley, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 20 Agosti - Meles Zenawi, Waziri mkuu wa Ethiopia (1995-2012)
- 20 Agosti - Phyllis Diller, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 28 Agosti - William Pascal Kikoti, askofu Mkatoliki kutoka Tanzania
- 3 Septemba - Michael Clarke Duncan, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 14 Septemba - Louis Simpson, mshairi kutoka Marekani
- 29 Septemba - Hebe Camargo, mwimbaji na mwigizaji wa filamu kutoka Brazil
- 20 Oktoba - Donnall Thomas, daktari kutoka Marekani, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1990
- 21 Oktoba - George McGovern, mwanasiasa kutoka Marekani
- 6 Novemba - Aloysius Balina, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 6 Novemba - Clive Dunn, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
- 26 Novemba - Joseph Murray, daktari kutoka Marekani, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1990
- 5 Desemba - Dave Brubeck, mwanamuziki kutoka Marekani
- 30 Desemba - Rita Levi-Montalcini, daktari kutoka Italia, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1986
