Timotheo
Mandhari


Timotheo (labda Listra, 17 hivi - Efeso, 97) ni mfuasi mpendwa wa Mtume Paulo, halafu mwandamizi wake [1].
Paulo alimuandikia barua mbili zilizopokewa katika Biblia kati ya Nyaraka za Kichungaji. Habari zake tunazipata humo na katika Matendo ya Mitume.
Tangu kale anaheshimiwa kama askofu mtakatifu na Wakatoliki na Waorthodoksi.
Tangu mwaka 1969, Kanisa Katoliki la Kilatini linamwadhimisha pamoja na Tito tarehe 26 Januari, siku inayofuata ile ya Uongofu wa Mt. Paulo, mwalimu wao.[2][3][4]. Waorthodoksi wanamuadhimisha tarehe 22 Januari.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/22450
- ↑ Calendarium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 1969), uk. 116
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/22475
Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 32-33
- Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 26-27
- Maurice Soseleje, Kalendari yetu – Maisha ya Watakatifu – Toleo la pili – ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Peramiho 1986 – ISBN 9976-63-112-X, uk. 15
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- The Life, Miracles & Martyrdom of St. Timothy, Bishop of the Christian Church Ilihifadhiwa 12 Novemba 2012 kwenye Wayback Machine.
| Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Timotheo kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
